Loading...
Instagram Public Photos with #habari

#habari:makamu wa rais mhe.samia suluhu hassan ameungana na viongozi wenzake katika ufunguzi rasmi wa mkutano wa 38 wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika sadc, unaofanyika kwa siku mbili mjini windhoek, namibia.

7 hours ago comment 4 star 218

#habari rais magufuli leo ameongoza waombolezaji jijini dar es salaam kuaga mwili wa jenerali mstaafu wa jeshi la ulinzi la wananchi tanzania jwtz.

8 hours ago comment 0 star 7

Mida ya kunyapiaa🤗
jisogeze chaaaap maubuyu kama yoooote siachi kitu yan mpka mwenyw sijiachi😃
___

#mnyapiajihanyapiwi #king #create #shilawadu #hatushindwi #b**g #tz 2018 #2017 #go #daressalaam #tanzania #african #beautiful #cute #bongomusic #bongo #trendy #trending #must #life #love #udaku #habari #mustwatch #mustlike #doubletap

8 hours ago comment 24 star 677

#habari mahakama ya kijeshi nchini uganda imemfungulia mashitaka ya kumiliki silaha kinyume cha sheria mwanamuziki, mbunge na mkosoaji maarufu dhidi ya serikali ya nchi hiyo kyagulanyi ssentamu maarufu bobi wine.

8 hours ago comment 0 star 5

#habari waziri mkuu kassim majaliwa amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya igunga mkoani tabora, ssp ally mkalipa kuwakamata wahusika wa ubadhirifu wa mradi wa mashine ya kukobolea mpunga katika kijiji cha chomachankola, wilayani humo ambapo halmashauri husika ilitoa takribani shilingi milioni 35 kwa ajili ya ununuzi wa mashine hiyo.

10 hours ago comment 0 star 102

#habari makamu wa rais mama samia suluhu hassan jana ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa asasi ya ushirikiano wa siasa, ulinzi na usalama ya jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa afrika sadc o***n troika akimwakilisha rais dk john pombe magufuli unaojadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama kwa nchi wanachama kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

10 hours ago comment 0 star 99

#habari:siku moja mara baada ya wananchi wa mitaa ya bochelo na mtube jijini dodoma kubomolewa nyumba zao kwa madai kuwa wamevamia hifadhi ya barabara,hatimaye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya dodoma mjini imesitisha zoezi la ubomoaji kwa siku 30 ili kuwapa nafasi wananchi ambao bado hawajaondoka kuondoa vitu vyao kabla ya kuendelea kwa zoezi hilo ambalo lipo kisheria.

10 hours ago comment 5 star 263

Ila daah jamani kuna raia #wamezaliwa khaa😍oya #africanqueen_fullcode👑 i mean #tshirt & #kofia zigo bado linapatikana kwa kila rangi na kila size!kwa mahitaji ewe mpendwa mteja wasiliana tu na namba zilizopo juu apo kwa #biograph ujipatie nawe #habari #ya #nchi📷by👉@nansachristopher cc @_llenita_ @_llenita_ @_llenita_ via #uzalendomwingisana👌👌

11 hours ago comment 0 star 36

#habari watu watatu wamejeruhiwa baada ya daladala inayofanya safari zake kati ya mabibo na muhimbili kutumbukia kwenye mataro eneo la kigogo njiapanda jijini dar es salaam.

11 hours ago comment 1 star 27

#habari:jeshi la polisi mkoa wa morogoro linawashikilia watu sita kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wakiwemo watatu wanaotuhumiwa kwa wizi wa nguzo za taa za barabarani zipatazo 234 huku wengine wakituhumiwa kuiba vifaa vya majumbani, pikipiki pamoja na mafuta ya diesel zaidi ya lita 300 yanayosadikiwa kuibwa kwenye mitambo inayojenga reli ya kisasa huko ngerengere wilayani morogoro.

11 hours ago comment 1 star 179

#habari.
majibu ya ccm kuhusu kauli ya marekani juu ya uchaguzi mdogo wa marudio.

ninachojua mimi,chaguzi hizi zimefanywa kwa msingi wa kisheria na matarajio yangu ni kwamba marekani na taasisi zengine za kimataifa zitaheshimu uhuru wa taifa letu.

katibu mkuu wa ccm.
ndg.bashiru ally.

11 hours ago comment 1 star 30

#habari:baadhi ya wananchi wa vijiji vya mafisa,bokwa pamoja na kwamba ambavyo vipo wilayani kilindi mkoani tanga wameikataa ripoti ya utatuzi wa mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na ile ya kiteto iliopo mkoani manyara.

11 hours ago comment 0 star 88

#habari:mkuu wa mkoa wa kagera brigedia jenerali marco elisha gaguti amewasimamisha kazi watendaji wawili wa halmashauri ya wilaya biharamulo na kumuagiza kamanda wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (takukuru) kuchukua hatua za haraka za kuwakamata na kuwachunguza watendaji hao ili iweze kubaini upotevu wa fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 690 za makusanyo ya mapato toka kwenye vyanzo vya ndani.

11 hours ago comment 0 star 139

#habari:tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo ina idadi kubwa ya wagonjwa wenye matatizo ya moyo ambayo pamoja na sababu zingine wametaja mfumo wa maisha kuwa sababu kubwa.

12 hours ago comment 4 star 88

#habari:tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo ina idadi kubwa ya wagonjwa wenye matatizo ya moyo ambayo pamoja na sababu zingine wametaja mfumo wa maisha kuwa sababu kubwa.

12 hours ago comment 2 star 163

#habari.
chadema kuwapeleka mahakamani wasimamizi wa uchaguzi,arusha.
.
katibu wa chadema #arushamjini bwn.innocent kisanyaje amesema kutokana na wizi wa kura na kufanyika vurugu katika uchaguzi uliofanyika agosti 12 mwaka huu,chama chao cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitawapeleka mahakamani wasimamizi wa uchaguzi pamoja na madiwani wateule wa kata tatu katika jiji hilo la #arusha.

12 hours ago comment 1 star 81

#habari:naibu waziri wa maliasili na utalii, mhe. japhet hasunga ameagiza hifadhi ya taifa ya mikumi kufungwa kamera za ulinzi 'cctv camera' pamoja na kuweka mabango yenye maandishi makubwa ya tahadhari ili kupunguza idadi ya wanyama wanaouawa kwa kugongwa.

12 hours ago comment 0 star 13

#habari:wananchi wa kijiji cha kankwale katika manispaa ya sumbawanga rukwa, wanaojishughulisha na kilimo cha bustani za mboga mboga kwenye bonde la mto lwiche, wamelalamikia kitendo cha kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa jeshi la akiba, kuvamia na kuziharibu vibaya bustani zao kwa madai kuwa wamelima kwenye vyanzo vya maji.

12 hours ago comment 8 star 225